Razack has won 20 million from @bongostarsearch 10 million from Vibes ON as well as a plot from @epl_property and one million from @zipazanzibar
SWAHILI TRANSLATE.
Uyu Hapa mshindi wa BSS Msimu wa 14 mr Razack Adam ,Akiweka Historia ya kuwa mshindi wa kwanza kuwakilisha mkoa wa Arusha kushinda shindano la kutafuta vipaji.Razack Ameshinda jumla ya Tsh Mill 30 pamoja na kiwanja. Uku mgeni rasimi akiwa naibu waziri wa sanaa na michezo mh;HAMIS MWINJUMA ,Akiwapongeza washiliki wote sita wa BSS uku akitoa Tsh 500,000/= kwa kila mshiliki,Razack amejishindia kiasi cha milioni 20 kutoka @bongostarsearch milioni 10 kutoka Vibes ON pamoja na kiwanja kutoka kwa @epl_property na milioni moja kutoka kwa @zipazanzibar